jaridahuru

Mitandao

USAJILI: ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WA DUBUCHY KUZIBA PENGO LA SAGNA

 
 
Tangazo: Arsenal imetoa tangazo la usajili mpya 
 
KLABU ya Arsenal imemsajili beki wa kulia wa kimataifa wa Ufaransa, Mathieu Debuchy kutoka Newcastle wakati Washika Bunduki wakiendelea kumwaga fedha kusajili.
Debuchy, mwenye umri wa miaka 28, amechukuliwa ili kuziba pengo la Mfaransa mwenzake, Bacary Sagna aliyehamia kwa mabingwa,  Manchester City mapema baada ya msimu.
 
Arsenal iemtweet picha ya Debuchy ikiambatana na ujumbe#KaribuDebuchy.

Related

Michezo 4068762965156625546

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item