jaridahuru

Mitandao

TAFAKARI YA LEO: ZABURI 138:8. BWANA ATATIMIZA AHADI ZAKE KWAKO MAANA FADHILI ZAKE NI ZA MILELE


Mungu ana kusudi na mpango kwa kila moja ya maisha yetu. Jambo kubwa tunaloweza kufanya ni kupata kusudi hilo na kuishi kulingana nalo. 

Tunaweza kumwamini kusudi lake kwa ajili yetu kwa sababu ni misingi ya busara na upendo wake. Tutakapotafuta mapenzi yake, hatuwezi kufanya kitu chochote ambacho kinaweza hatimaye kuharibu kusudi lake kwa ajili yetu. 

Tunaweza kwa wakati mmoja kupotea kutoka katika kusudi lake, lakini kamwe hawezi kutuacha tupotee ili mradi hatumuachi na pia tunakumbuka kuwa kamwe hawezi kutuacha, atatutumia kwa makusudi yake.
 
Maombi yangu ...

"Ee Mungu, nisaidie kutambua nini kusudi la maisha yangu na nia ya kutimiza mpango wako. Asante kwa upendo wako kwangu na ahadi ya kutembea pamoja nami katika kila hatua ya maisha yangu.
Naishi  nikiamini kwamba kamwe huwezi kuniacha na sina nia ya kukuacha wewe. Kwa jina la Mwana wako mwaminifu, Yesu, mimi naomba. Amina."

Related

Tafakari 606961904610012803

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item