jaridahuru

Mitandao

WIMBO MPYA: Msanii aliyeshinda tuzo 7 (Diamond) katika KMA aja kivingine!




Msanii wa bongo fleva na mshindi wa tuzo 7 za Kilimanjaro Music Awards Nasiibu Abdul a.k.a Diamond Plutnumz amekuja kivingine mara hii akiwa ameshirikishwa na msanii Victoria Kimani wa Kenya mwenye label ya Chocolate City katika Wimbo unaotarajia kuzikonga nyoyo za mashabiki wake.

Katika wimbo huo unaoenda kwa jina la "PROKOTO" pia ameshirikishwa nyota aliyekosa tuzo za KMA Ommy Dimpoz hivyo kukamilisha kikosi cha mtu tatu.

Wimbo huo unatarajiwa kuachiwa katika stesheni mbali mbali muda wowote kuanzi hivi sasa.

Related

KIMATAIFA: ASKARI WA KUTULIZA GHASIA NCHINI NIGERIA YAWATIMUA WAADAMANAJI WA 'BRING BACK OUR GIRLS'

Polisi nchini katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wamepiga marufuku maandamano ya watu wanaowaunga mkono zaidi ya wasichana wa shule mia mbili waliotekwanyara na kundi la wanamgambo wenye itikadi k...

KITAIFA: POLISI NCHINI WANOLEWA ILI KUJIANDAA NA UCHAGUZI MKUU 2015

Dar es Salaam. Harakati za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015 zimeanza. Polisi wameanza mafunzo yatakayowaongezea uwezo wa kusimamia uchaguzi huo. Mafunzo hayo yanafadhiliwa na Shirika la Mpango wa...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item