jaridahuru

Mitandao

TECHNOLOJIA: Ongeza maisha ya betri ya simu yako.


Naamini wote tumewahi kukukumbana na kero za kuishiwa charge kwenye smart phone zetu, iwe HTC, Blackberry, HTC, Samsung au Huawei, hii inakera sana hasa pale unapotaka kum "whatsapp", "Viber", "BBM", "Inbox","Tweet" au kumpigia simu mtu oh! labda kum Inta! ni kero kero kero!!

Zama za simu zetu za tochi, enzi tunacharge simu vibadani, tulikuwa tunacharge simu hadi iwe "FULL" yaani ijae, na tulikuwa tunatumia simu hadi iishe yaani "Empty" je simu yako ilikuwa inatunza charge kwa muda gani? Kumbe! Betri ni zile zile za Lithium-ion na za sasa ni bora zaidi ya zile za awali! Unabisha? soma standby time za betri ya simu yako utakubaliana na mimi.

Well, tuingie katika sehemu yenyewe, katika makala ilioyoandikwa na cnntech inasema kuwa mtu anapo charge simu hadi ikachajaa "Fully Charged" na kuitumia hadi inapoisha pasipo kuiongeza charge au kuiboost ni nyenzo moja kuu ya kuongeza maisha ya betri ya simu hiyo.

Hata hivyo pia jarida hilo linasema kuwa ni vyema kuielewa vizuri simu yako na kuhakikisha kuwa wanazi simamisha 'processes' zote ambazo sio za lazima. Liliendelea kusema kuwa pia ni vyema kufungua programu zinazo onesha utendaji kazi wa processor ya simu yako.

Pia kuna programu za simu mahsusi kwa ajili ya kusaidia katika kuzizima processes ambazo hazitumiki pale simu yako inapokuwa haihizitaji. baadhi ya programu hizo ni;
  1. Autorun Manager
  2. Juice Defender
  3. GoBattery Saver
  4. Battery Defender


Related

TEKNOLOJIA: TCRA YAONYA WANAOWADHALILISHA WENZAO KWENYE MTANDAO, YAAHIDI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI

MAMLAKA ya mawasiliano nchini ,TCRA, imewaonya wale wote wanaotumia mitando kuchafua na kudhalilisha watu waache mara moja vinginevyo watakabiliwa na mkono wa sheria.   Onyo hilo limet...

TEKNOLOJIA: INSTAGRAM YAPIGA 'BAN' PICHA ZA UTUPU, YAONYA KUWAFUTA WANYE KUTUMIA PICHA HIZO

Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, amesema kuwa sheria zake kuhusu picha za uchi hazimbagui mtu yeyote. Kampuni hiyo imekosolewa vikali kwa kwa kuondoa picha za wanawake walio...

TEKNOLOJIA: APPLE KUINUNUA BEATS KWA DOLA BILIONI 3

Kampuni kubwa ya teknolojia Apple imethibitisha kwamba itanunua vipokea sauti na huduma ya kusikiliza muziki kupitia kwenye mtandao wa inteneti kutoka kampuni ya Beats Electronics katika makubal...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item