jaridahuru

Mitandao

MICHEZO: Arsenal kupata pigo la kuondokewa na mchezaji wao




Timu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza Arsenal iko mbioni kumpoteza beki wake wa kulia Bacary Sagna baada ya mchezaji huyo kukubali mpango wa kunyakuliwa na timu ya Manchester City.

Kupitia shirika la habari la le10sport.com, Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amabaye anatarajiwa kuonesha cheche katika kombe la dunia 2014 na kikosi chake cha ufaransa, anakaribia kumaliza mkataba wake na klabu hiyo yenye maskani yake mjini london.

Sagna iwapo atajiunga na Man City atajumuika na wachezaji wenzake wa zamani Samir Nasri na Gael Clichy ambao pia waliondoka klabuni hapo na kujiunga na Manchester City.

Hata hivyo, timu hizo kwa sasa zinaangalia kumalizia msimu wao huku Man City wakitarajia kunyakua ubingwa wa ligi kuu na capital one huku Arsenal wao wakijitahidi kupunguza ukame wa makombe kwa kuitazamia FA.

Related

Michezo 2275128172215184324

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item