jaridahuru

Mitandao

KITAIFA: "MJEDA FEKI" Achezea kichapo Dar. Ni baada ya kunaswa na Trafiki


Jamaa mmoja aliyejitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) amepokea kipigo kikali kutoka kwa askari wa usalama barabarani (Traffic) huko Makumbusho mjini Dar es salaam baada ya kunaswa na askari hao.

Jamaa huyo ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja wala kilichopelekea kijifanya kuwa mwanajeshi, hata hivyo inadhaniwa kuwa alikuwa katika harakati za kukwepa sheria na adhabu za makosa ya barabarani.

Katika tukio la hivi karibuni, kisa kinachofanana na hicho huko Tanga jamaa mmoja pia alitiwa mbaroni bada ya kutumia ujanja huo kutaka kumtapeli DC.

Visa vya namna hii vinzadi kulikabili jeshi la tanzania. Je unafikiria wapi kuna tatizo?

Related

Kitaifa 9084156458290421824

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item