jaridahuru

Mitandao

DON WA BONGO : Ray adai yeye ndio 'DON' wa Bongo Artists

Msanii Vincent Kigosi 'RAY'

Msanii nguli wa filamu za Bongo a.k.a Bongo Movie, amejinadi katika gazeti moja la bongo kuwa hakuna Msanii yeyote wa Bongo movie wala Bongo fleva anaweza kumfikia kwa mali alizo nazo yaani sio Diamond, Jdee wala yeyote.
Aliendelea kusema kuwa Wasanii wengi wanapenda kujionesha katika vyombo vya habari kuwa wanapesa na kudai kuwa hizo ni 'mbwe mbwe' zisizokuwa na maana kwani kama mtu anayejitambua huwezi kuwatambia watu kuwa una pesa wakati huna.

 "Hakuna msanii anayenizidi uwezo kuanzia mali na hata fedha niko mbali sana mimi, hata gari          ninalotembelea hakuna msanii aliyenalo kama ingekuwa ni mtu wa kujisifusifu na kutafuta sifa za kijinga jamii ingejua?!" alisema star huyo wa filamu za Oprah, Sobbing Sound, Hard Price na Handsome Wa Kijiji.

"Wanaongea sana majungu, fitina na vitu ambavyo havipo kuhusu mimi, mimi ni jembe, kwanini wasiangalie maisha yao? leo msanii unateta nae dakika hiyo hiyo anageuza maneno hayo kuwa majungu, acha nikae peke yangu nifanye issue zangu". Msanii huyo aliongeza ,

Related

Habari Mpya 1626865763858667341

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item