jaridahuru

Mitandao

CBE DOM: RAISI WA COBESO AAPISHWA



Serikali ya Wanafunzi wa chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma kimempata Raisi mpya wa awamu ya 2014/2015 rais Franck Mshana baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa uraisi uliofanyika tarehe 16 April mwaka huu.

Rais Mshana alishinda kinyang'anyiro hicho kwa kujinyakulia kura zaidi ya 900 dhidi ya wapinzani wake AZIZI MAIGE alyepata kura 500 na Raymond Mkulo aliyepata kura 300. Hata hivyo Mpinzani wake AZIZI MAIGE alioneshwa kutoridhishwa na matokeo hayo kwa kudai kuwa inawezekana kura hizo zilichakachuliwa. Hata hivyo madai yake yalitupiliwa mbali baada ya kutokuwa na ushahidi wa kujitosheleza.

Sasa chuo hicho kimemuapisha Frank Mshana kuwa rais wa COBESO 2014/2015.

Related

VYUONI: SERA YA KUDHIBITI MAVAZI VYUONI YATUNGWA, WATAKAO KAIDI KUCHUKULIWA SHERIA KALI

SERA ya kudhibiti mavazi yasiyoendana na maadili, yanayovaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini, inaelezwa itakuwa muarobaini kwa wanafunzi husika. Akizungumza na waandishi wa habari ...

VYUONI: CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI) CHAPATA BAHATI YA KUTEMBELEWA NA N/WAZIRI WA UCHUKUZI

Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), mara baaada ya kuwasili chuoni hapo kuangalia shug...

VYUONI: MBUNGE WA CHALINZE, RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI SEKONDARI VITANDA 267

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekabidhi vitanda 267 katika shule za sekondari za bweni saba jimboni humo vyenye thamani ya sh milioni 53.4.  Akizungumza wakati wa kukabidhi v...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item