jaridahuru

Mitandao

BUNGENI: JE UNAFAHAMU MAANA YA KUONDOA SHILINGI KATIKA BUNGE LA BAJETI? SOMA HAPA



Ni kawaida katika vikao va bunge la bajeti kusikia "NITAONDOA SHILINGI" au "NASHIKILIA SHILINGI YA MSHAHARA WA WAZIRI" Wabunge kama John Mnyika, Halima Mdee, Kangi Lugola wamesikaka wakilitaja hili mara kwa mara katika kamati za matumizi.

je umewahi kujiuliza ina maana gani? Leo Jarida Huru inakupa maana na kifungu kinachotumiwa katika hili.



Kauli hiyo hutumika wakati bunge linapokaa kama kamati ya matumizi ya kupitisha bajeti ya wizara husika.  Iwapo inatokea mbunge kutoridhishwa na jambo fulani katika bajeti au nyanja inayohusiana na bajeti hiyo, basi kanuni inayo simamia eundeshaji wa shuguli za bunge ya;

 103 "Hoja ya kuondoa shilingi kwenye Makadirio" 

inampa mbunge nguvu ya kuondoa shilingi katika bajeti hiyo ili kuweza kufahamishwa kwa kiwango cha kuridhika. Iwapo bado hajaridhika, mwenyekiti ambaye huwa ni spika huitisha kura za ndio au siyo ili kumuunga mkono anayeshikalia shilingi.


Kanuni hii nimeiambatanisha hapa.








Related

Habari Mpya 7377558074484963232

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item