jaridahuru

Mitandao

AFYA: HOMA YA DENGUE SASA YAINGIA JIJINI MWANZA, MGANGA MKUU SEKOU TOURE ATHIBITISHA



Mbu aina ya Aedes anayeeneza virusi vya homa ya dengue. UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake.

 Ugonjwa huu ulithibitishwa kuingia nchini baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huo jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara ya Taifa Dar es Salaam na kuthibitisha kuwa na virusi vya homa ya dengue mwishoni mwa mwezi wa Januari 2014.

Hadi sasa idadi ya wagonjwa ambao wamethibishwa kuwa na ugonjwa huo ni 400 na vifo 3. Kwa wiki iliyoshia tarehe 9 Mei 2014…

Related

SIASA: YULE BILIONEA WA ESCROW - RUGEMALIRA, YUKO HOI BAADA YA KUWEKWA MIKONONI MWA TAKUKURU,

Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema imemhoji na inaendelea kumchunguza mmiliki mwenza wa zamani wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Lt...

ELIMU: JE UMEWAHI KUWA NA NIA YA KUAZISHA SHULE? BASI FAHAMU VIGEZO VYA KUFUNGUA SHULE NA UTARATIBU HAPA

WE NI MJASIRIAMALI, UNATAKA KUFUNGUA SHULE, UTARATIBU MWEPESI NI HUU. Na  Bashir  Yakub. Wapo Watanzania ambao ndoto zao ni kumiliki shule. Ninapoongelea shule simaanishi lazima&nb...

AJIRA: JE UNAKIPAJI CHA UTANGAZAJI? OK..AIRTEL INATAFUTA MTU MWENYE KIPAJI CHA UTANGAZAJI SOMA HAPA UJUE

Je, una kipaji cha kuwa TV Presenter? Tuma video yako katika ukurasa wa Airtel Facebook (www.facebook.com/AirtelTanzania) ukitaja jina lako, unapoishi, umri wako na kitu gani kinachokufanya...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item