jaridahuru

Mitandao

UEFA : Ronaldo na Ramos Waiadhibu Bayern.


Mambo yamekuwa sio mambo kwa timu ya Bayern Munich usiku wa leo baada ya kupokea kichapo cha jumla ya mabao 4 bila majibu kutoka kwa Real Madrid katika mchezo wa pili wa nusu faili baini ya timu hizo.

Bao la kwanza lilitiwa kimyani na Beki Sergio Ramos dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza kwa kuunganisha cross iliyopigwa na kati, Mchezaji huyo tena alifanikiwa kuliona lango la bayern katika dakika ya 20 kabla ya Kiungo Christiano Ronaldo kufunga bao la tatu katika dakika ya 34 hivyo kuzifanya timu kuenda mapumziko kwa jumla ya mabao 3:0.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi kwa Arjen Roben kukosa nafasi ya wazi lakini mchezo ulibadilika na Mchezaji Christiano Ronaldo kuongeza bao la pili na la 4 katika mchezo huo kwa njia ya mpira wa adhabu alioupiga na kuukwamisha kimyani na kuufanya mchezo kuisha kwa jumla ya magoli 4 : 0 na kuipa Real Madrid jumla ya magoli 5: 0 na kujikita katika Fainali za ligi hiyo.

Mchezo mwingine upo hapo kesho ambapo Chelsea itawakaribisha Atletico Madrid katika uwanja wa Stanford bridge.

Related

sport 5014435111242144964

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item