jaridahuru

Mitandao

DAVIDO vs DIAMOND : Davido adai milioni 4.4 kshs kufanya show Nairobi

Msanii: DAVIDO



Siku za hivi karibuni, Diamond alitikisa vichwa vya habari kwa kuwa msanii anayeongoza kuwa "The most expensive showbiz act in the region". Ila hii imepigwa chini na msanii Davido wa Nigeria baada ya kudai kiasi cha milioni 4.4 mkwanja wa kikenya ili ku'perform' katika jiji la Nairobi a.k.a 'NAIROBERRY'. Msanii huyo ambaye ametikisa kwa kasi yake ya kuto ngoma kali baada ya nyingine na kuvutia wasanii wenzake na kumtaka kfanya nae collabo, anatisha na Ngoma yake ya 'AYE' ambayo inagongwa sana katika clubz na NAIJA na pande kadhaa za jiji la Nairobi. Msanii huyo wa The Gobe singer, aliwataka mameneja wake waombe mtonyo huo ili aweze kuperform katika jiji hilo la wakenya. “Alisema anataka agharamiwe na kundi lake la watu sita katika ndege daraja la 'Business Class',” chanzo kimoja kiliwaambia SDE. Kwa upande wake, Diamond Platnumz anagonga show kwa Sh1.6 milioni za Kikenya tofauti ya milioni 2.8 milion kitu ambacho kimekuwa ni mshtuko kwa wengi. Unafikiri anastahili kiasi hiki cha pesa? Tupia maoni yako. SOURCE: http://nairobiwire.com (translated)

Related

Entertainment 4987958225950269969

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item