jaridahuru

Mitandao

SIASA: Alliance for Change and Transparency (ACT) yapata usajili wa Kudumu



Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT) kimepata usajili wa kudumu baada ya kukamilisha zoezi la uhakiki lililofanyika katika mikoa kumi teule.
Katika maneno ya baadhi ya wanachama wa chama hicho, wengi walidai kuwa zoezi hilo la uhakiki lilikuwa gumu kwani watu waliodaiwa kuwa mamluki walikataa kujitokeza katika siku ya zoezi hilo.

Hata hivyo chama hicho sasa kimekuwa chama rasmi cha kisiasa baada ya kuvunja rekodi ya kuwa chama kilichopata usajili kwa muda mfupi zaidi.

Mwenyekiti wa chama hicho Kadawi Lucas Limbu ambaye pia aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) alikabidhiwa cheti cha usajili na Msajili mkuu wa vyama vya siasa nchini Bw Fransis Mutungi.

Related

Siasa 5594632320130625550

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item