jaridahuru

Mitandao

SIASA: Dr. Kitila Mkumbo ajiunga na ACT


Dr. Kitila Mkumbo (Kushoto) Mhe. Zitto Kabwe (Kulia)

Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam na Mkuu wa kitivo cha Elimu na Saikolojia Dr. Kitila Mkumbo, ametangaza kujiunga rasmi na chama cha kisiasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT)

Katika mahojiano na Dr. Kitila, alibainisha kujiunga na chama hicho na kuongeza kuwa atamshauri Mh. Zitto Kabwe kugombea kuwa mwenyekiti katika chama hicho.

Dr. Kitila aliwahi kuwa Afisa Utawala katika chuo Kikuu cha Dar es salaam na alikuwa Raisi wa serikali ya wanafunzi wa chuo hicho (DARUSO) katika mwaka wa 1998 - 1999 alipokuwa akichukua shahada ya kwanza.

Dr. Kitila pia amefanya tafiti mbali mbali katika nyanja za Elimu, Saikolojia na mienendo ya watu wenye umri mdogo. Pia ni Katibu Mkuu katika chama cha Tanzania Psychological Association (TAPA) na ni mwanachama wa vyama vingine vingi visivyokuwa vya kisiasa kama vile AFSH, TPHA na SSSI.

Related

Technolojia 298701963226459993

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item