jaridahuru

Mitandao

ZAAENI TUNA RASILIMALI ZA KUTOSHA: RAIS MAGUFULI



Rais wa Tanzania John Magufuli anaamini kuwa matumizi ya dawa za kupanga uzazi ni njia iliyoachwa na wakati ya kupanga familia -Rais aliwashauri wananchi kuzaana kwa sababu taifa hilo linajitosheleza -Watu wengi watahakikisha kuwa kuna wafanyikazi wa kutosha nchini humo Huku mataifa mengi Barani Afrika yakijikakamua kuwashauri wanawake kutumia dawa za kukinga mimba ili kuzuia ongezeko la watu, Rais wa John Magufuli wa Tanzania ana maoni tofauti.

Related

Life Style 8173790019091192757

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item