jaridahuru

Mitandao

TETESI: James Mbatia ajiondoa UKAWA



Kunataarifa zimeenea katika mitandao ya kijamii hasa facebook kuwa mmoja wa viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wanachi na mbunge wa kuteuliwa wa NCCR-Mageuzi Mhe. James Francis Mbatia amejiondoa katika umoja huo.
Hata hivyo hadi sasa hajatoa tamko lolote kuhusiana na taarifa hizo. Juhudi za kumtafuta ili athibitishe zinaendelea na tutakutaarifu punde tutakapo zipata.

Related

Siasa 3895346920866766277

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item