jaridahuru

Mitandao

UTEUZI MPYA: WASIRA ALAMBA SHAVU KWA JPM, MWANDOSYA APIGWA CHINI




September 9, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Stephen Masato Wasira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.

Wasira anachukua nafasi ya Prof. Mark James Mwandosya.
Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Dkt. Festus Bulugu Limbu kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (National Economic Empowerment Council – NEEC).
Dkt. Limbu anachukua nafasi ya Dkt. John Jingu ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto).

Uteuzi wa viongozi hao unaanza leo tarehe 9 Septemba, 2018.

Related

Kitaifa 5926151051725042142

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item