SIASA: HII HAPA RATIBA YA UKAWA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUANZIA 14 - 27 MAY 2014
http://jaridahuru.blogspot.com/2014/05/siasa-hii-hapa-ratiba-ya-ukawa.html
Umoja wa katiba ya wananchi wameandaa ziara kuzunguka mikoa mbali mbali ya Tanzania bara na ifuatayo ni ratiba kamili ya ziara hiyo ambayo itaanza tarehe 14/05/2014 hadi 27/05/2014.
Pekua (Download pdf) au soma hapa chini
"UKAWA
INAANZA TANZANIA BARA" RATIBA YA ZIARA YA AWAMU YA
KWANZA
YA UKAWA, TAREHE 14 – 27 MEI 2014.
TIMU “A”- KANDA YA KATI
1. Mhe.
Mosena Nyambabe (NCCR) – Katibu Mkuu,
2. Mhe.
Ashura Mustapha (CUF) – Mjumbe wa Baraza Kuu,
3. John Heche (CHADEMA) – Mwenyekiti wa Vijana
Taifa,
14/05/2014 MOROGORO MJINI
16/05/2014
SHINYANGA MJINI
17/05/2014
BARIADI MJINI
18/05/2014
NZEGA MJINI
19/05/2014
TABORA MJINI
20/05/2014 URAMBO
22/05/2014
NGURUKA
23/05/2014 KIGOMA MJINI
24/05/2014
MNANILA
25/05/2014
KASULU MJINI
26/05/2014
KASULU VIJIJINI
27/05/2014
KIBONDO MJINI
TIMU “B”
– KANDA YA KASKAZINI
1. Dr
Willibroad Slaa(CHADEMA) – Katibu Mkuu,
2. Mhe.
Mustapha Wandwi (CUF) – Mjumbe wa Baraza Kuu,
3. Ahmed
Msabaha (NCCR) – Mjumbe wa Halmashauri Kuu,
TAREHE ENEO LA MKUTANO
14/05/2014
MOSHI MJINI
15/05/2014 BABATI MJINI
16/05/2014
ARUSHA MJINI
18/05/2014
MUSOMA MJINI
19/05/2014
TARIME MJINI
20/05/2014 BUNDA MJINI
21/05/2014
BIHARAMULO MJINI
22/05/2014
BUKOBA MJINI
23/05/2014
KARAGWE MJINI
24/05/2014 NGARA MJINI
25/05/2014
KATORO
26/05/2014 GEITA MJINI
TIMU “C”
– NYANDA ZA JUU KUSINI
1. Prof.
Ibrahim Haruna Lipumba(CUF) – Mwenyekiti,
2. Mhe. Said Issa (CHADEMA) – Makamu
Mwenyekiti Taifa,
3. Martin Juju Danda(NCCR) – Mjumbe wa
Halmashauri Kuu,
TAREHE
ENEO LA MKUTANO
15/05/2014
IRINGA MJINI
16/05/2014
MAFINGA
17/05/2014
MAKAMBAKO MJINI
18/05/2014
NJOMBE MJINI
19/05/2014
SONGEA MJINI
20/05/2014
MBINGA MJINI
22/05/2014
MBEYA MJINI
23/05/2014
MOMBA
24/05/2014
SUMBAWANGA MJINI
25/05/2014
NAMANYERE
26/05/2014
KATAVI MPANDA - MULELE (MAJIMOTO)
27/05/2014
MPANDA MJINI
Wananchi wa maeneo yote yaliyotajwa mjiandae
na awamu ya kwanza ya ziara hii. Awamu ya
pili
itaendelea mwezi Juni na ziara za wabunge walioko bungeni mtatangaziwa. J.
Mtatiro,