jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: Wimbo Mpya wa Diamond Uliovuja Huu Hapa na Alichokisema Diamond


Msanii wa Bongo Fleva Diamond Ameomba umma kutoutumia wimbo wake mpya uliovuja wa Kitorondo uliovuja kwani wimbo huo uko katika Voice Note na hauna Quality ya kuridhisha.

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazijatoka nimeikuta mtandaoni, sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa voice note yani haina quality kabisaa..Tafadhari kwa yeyote atakeipata asiitumie kwenye media au hadhari kwani haijatoka na hako qualified" Aliandika Diamond katika instagram.






Related

Habari Mpya 9049596493466772943

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item