jaridahuru

Mitandao

AFYA: HOMA YA DENGUE SASA YAINGIA JIJINI MWANZA, MGANGA MKUU SEKOU TOURE ATHIBITISHA



Mbu aina ya Aedes anayeeneza virusi vya homa ya dengue. UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake.

 Ugonjwa huu ulithibitishwa kuingia nchini baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huo jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara ya Taifa Dar es Salaam na kuthibitisha kuwa na virusi vya homa ya dengue mwishoni mwa mwezi wa Januari 2014.

Hadi sasa idadi ya wagonjwa ambao wamethibishwa kuwa na ugonjwa huo ni 400 na vifo 3. Kwa wiki iliyoshia tarehe 9 Mei 2014…

Related

Habari Mpya 401364151894513095

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item