KITAIFA: TANAPA YATANGAZA KAMPENI YA MIEZI SITA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI.
http://jaridahuru.blogspot.com/2015/08/kitaifa-tanapa-yatangaza-kampeni-ya.html
|
Kaimu
Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Victor Ketansi
akizungumza na wanahabari(hawako pichani) juu ya Kampeni ya uhamasishaji
wa utalii wa ndani kwa wazawa itakayodumu kwa muda wa miezi sita. |
|
Baadhi
ya Maofisa kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA, pamoja na Wizara
ya Maliasili na Utalii wakizungumza na wanahabari (hawako pichani ) juu
ya kampeni ya kuhamasisha wananchi kutembelea hifadhi za taifa ambapo
katika kipindi cha miezi sita watakao tembelea zaidi ya Hifadhi nne
watapata ofa ya kutembelea Serengeti ikiwa ni pamoja na kugharamiwa
maradhi katika hoteli yenye hadhi ya nyota tano. |
|
Kaimu Meneja Mauzo wa TANAPA,Victor Ketansi akisisitiza jambo. |
|
Mkuu
wa Idara ya Utali katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva
Mallya akizungumza vivutio mbalimbali vunavyopatikana katika hifadhi ya
taifa ya Mlima Kilimanjaro. |
|
Mwakilishi
wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambaye pia ni afisa utalii mfawidhi na
mkuu wa kanda ya utalii Kaskazini,Lauriano Munishi akizungumza jambo
mbele ya wanahabari(hawako pichani)juu ya uzinduzi wa kampeni ya
kuhamasisha utali wa ndani. |
|
Mkuu
wa Idara ya Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha,(ANAPA) Neema
Philip akizungumzia vivutio mbalimbali vinayopatikana katika hifadhi ya
Arusha. |
|
Afisa
Utalii Mwandamizi katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ,Pellagy Marandu
akizungumzia vivutio mbalimbali vinavyoopatikana katika hifadhi hiyo. |
|
Meneja
Mawasiliano Mwandamizi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Catherine
Mbena akiwa na mwandishi wa habari wa TBC Kilimanjaro,Sauda Shimbo
wakati wa kikao cha maofisa wa TANAPA na wanahabari kuzungumzia juu ya
kampeni ya kuhamasisha wananchi kutembelea hifadhi za taifa .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.. |
Imechapishwa na
Sebastian