TECHNOLOJIA: Ongeza maisha ya betri ya simu yako.
http://jaridahuru.blogspot.com/2014/05/technolojia-ongeza-maisha-ya-betri-ya.html
Naamini wote tumewahi kukukumbana na kero za kuishiwa charge kwenye smart phone zetu, iwe HTC, Blackberry, HTC, Samsung au Huawei, hii inakera sana hasa pale unapotaka kum "whatsapp", "Viber", "BBM", "Inbox","Tweet" au kumpigia simu mtu oh! labda kum Inta! ni kero kero kero!!
Zama za simu zetu za tochi, enzi tunacharge simu vibadani, tulikuwa tunacharge simu hadi iwe "FULL" yaani ijae, na tulikuwa tunatumia simu hadi iishe yaani "Empty" je simu yako ilikuwa inatunza charge kwa muda gani? Kumbe! Betri ni zile zile za Lithium-ion na za sasa ni bora zaidi ya zile za awali! Unabisha? soma standby time za betri ya simu yako utakubaliana na mimi.
Well, tuingie katika sehemu yenyewe, katika makala ilioyoandikwa na cnntech inasema kuwa mtu anapo charge simu hadi ikachajaa "Fully Charged" na kuitumia hadi inapoisha pasipo kuiongeza charge au kuiboost ni nyenzo moja kuu ya kuongeza maisha ya betri ya simu hiyo.
Hata hivyo pia jarida hilo linasema kuwa ni vyema kuielewa vizuri simu yako na kuhakikisha kuwa wanazi simamisha 'processes' zote ambazo sio za lazima. Liliendelea kusema kuwa pia ni vyema kufungua programu zinazo onesha utendaji kazi wa processor ya simu yako.
Pia kuna programu za simu mahsusi kwa ajili ya kusaidia katika kuzizima processes ambazo hazitumiki pale simu yako inapokuwa haihizitaji. baadhi ya programu hizo ni;