jaridahuru

Mitandao

FACTS: DIAMOND 'DANGOTE' NA ISHU MPYA YA FREEMASON



Msanii wa Bongo fleva Nasiibu Abdul a.k.a Diamond Plutnumz anatumia Jina la 'CHIBU DANGOTE' katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, hii imeibua mjadala mpya wa ni kwanii kwa kuwa Jina lake halisi wala la kisanii haihusiani na jina hilo wala sio jina la kitanzania.

Katika upekuzi wa Jarida huru, Jina hilo la 'DANGOTE' limetokea katika ukurusa wenye sura ya kipekee na kuacha maswali mengi.

Kuna tajiri anayetajwa kuwa miongoni mwa waafrika matajiri duniani naye ni Aliko Dangote, Mnaijeria huyo ambaye thamani yake kwa sasa ni takribani Dollar Billioni 24 anamiliki biashara kubwa zenye jina la Dangote Group.

DANGOTE FREEMASON



Tajiri huyo anahusishwa kuwa mmoja wa Freemasons baada ya bidhaa yake ya Supeghetti kuwa na nembo ya chama hicho kinachodhaniwa kuwa na pesa zaidi duniani na cha kishetani.


DIAMOND FREEMASON

Kwa upande wake Diamond Plutnumz amekua akihusishwa na chama hicho cha freemason baada ya watu kuamini kuwa mafanikio yake ni makubwa kuliko kawaida ya msanii wakitanzania.

TETESI JUU YA UHUSIANO WAO

Kwa siku za hivi karibuni msanii Diamond amekuwa akisafiri sana kuenda huku Nigeria, hivyo kuna imani kuwa inawezekana wawili hao wakawa wanakutana kwa siri na kufanya yao. 

Aliko Dangote huenda akawa ndio Godfather wa Diamond katika chama hicho? Hilo kwa uhakika hatujui ila kuna uwezekano huo maana kwa imani hiyo inasemekana watu wanashikana mikono.

AU LABDA???

Diamond anamuona Dangote kama Role Model wake? Hilo pia hatujui, ni nafasi yako sasa kufanya utafiti juu ya hilo.


PROFILE YA ALIKO DANGOTE



Alhadji Aliko Dangote, MFR, GCON alizaliwa 10 April 1957, huko Kano Nchini Nigeria. Dangote ni mfanyabiashara mkubwa nchini Nigeria anaye miliki Dangote Group.

Kampuni hiyo inafanya shughuli zake nchini humo na nchi nyingine nyingi zikiwemo Benin, Cameroon, Togo, Ghana, South Africa na Zambia.

Kufikia Machi 2014 Dangote alionekana kuwa na thamani ya takribani Dollar Billioni  25.

Dangote katika taarifa ya Forbes anasemekana kuwa tajiri namba 23 duniani. 



Related

Habari Mpya 3429366375598122444

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item