Mwanadada unaweza kutokelezea kwa kuvaa Short suit na ukaonekana nadhifu kupita maelezo. Hizi zinapatikana katika maduka mengi ya boutique hapa mjini, Hivyo wahi upate yako leo .. achana na habari ya kuvigubika na jasho la mjini. Short-Suit ndio habari ya mjini!