jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 MKOANI TANGA TAREHE 30 AGOSTI 2014 MKWAKWANI 3000/-



Ile tour kali ya muziki nchini, Killi Music Tour sasa ni zamu ya Tanga kukichezesha kikwetu kwetu. Wasanii wakali kama WEUSI, Ben Pol, Mzee Yusuph, Khadija Kopa, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko na Prof. Jay watatumbuiza jumamosi hii ya tarehe 30/8 katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwa kiingilio cha shilingi 3000/= tu, kuanzia saa 10 jioni.

Related

Events 1500575924914759746

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item